GariShop

Uza Gari Yako - BURE Kuweka

Kwanini Buyer Analipa 49?

49 inatusaidia ku-run GariShop - kuweka picha zako, AI Fix Estimate, na kukulinda wewe usipigiwe na watu wa kubahatisha. Buyer anayelipa ni buyer wa kweli, sio wa ku-window shop.

Jaza Gari Yako

Weka ukweli tu. Gari fake inafutwa na unaweza ku-reportiwa.

Nambari hii itafichwa. Buyer ataiona baada ya kulipa 49 tu.
Weka bei ya kweli. Ukiweka bei ya uongo, buyer ata-report.
Usiweke picha za dent. Andika tu. Hii inajenga trust na buyer.

📸 Picha 1 - Mbele ya Gari *

📸 Picha 2 - Nyuma / Side *

📸 Picha 3 - Ndani / Dashboard *

Picha 1 tu ndio itaonekana kwa index.html. Picha 3 zitaonekana baada ya buyer kulipa 49. Picha lazima ziwe za gari yako halisi - si za internet.
Video itafichwa. Buyer ataiona baada ya kulipa 49 tu. Kama huna video, unaweza kuacha wazi.
GPS itafichwa pia. Inasaidia buyer wa kweli akujue uko wapi.
🤖 AI Fix Estimate Yako

Jaza Bei na Cosmetic hapo juu, AI itahesabu hapa kiotomatiki.

Hakulipi chochote kuweka gari. Buyer ndiye analipa 49 kuona details.
← Rudi Kuona Magari